Mbowe amwambia RC Sendiga walichoongea na Rais

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Taifa Freeman Mbowe (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Sendiga (kushoto).

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Taifa  Freeman Mbowe, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Sendiga mazungumzo yaliyolenga siasa za amani ndani ya mkoa na Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS