Hasenhuttl akanusha kujiunga na Manchester United
kocha wa Southampton Ralph Hasenhuttl amesema hana muda wa kufuatilia taarifa zinazomuhusisha kujiunga na Manchester United, kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho mwishoni mwa msimu huu. Makocha wengine wanohusishwa na kibarua hicho ni Mauricio Pochettino, Erick Ten Hag na Luis Enrique.

