Mzamiru na Bwalya wako wapi?

(Viungo wa Simba SC, Mzamiru Yassin na Rally Bwalya)

Kikosi cha Simba kimerejea mazoezini huku nyota wake Rally Bwallya na Mzamiru Yassin wakiripotiwa kuungana na wenzao kujiwinda na mechi ya kesho ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Biashara Mara United itakayochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS