Rais Karia awashukia Wachambuzi nchini

(Rais wa Shirikisho la Soka Nchini Tanzania, Wallace Karia)

Akizungumza na Kipenga cha East Africa Radio, Rais wa TFF, Wallace Karia amesema wametoa miezi miwili kuruhusu mjadala hadi kwa Waandishi wa Habari kupata maoni pia ili kuboresha zaidi lakini ameongeza kuwa kupitia kamati ya utendaji wamewasilisha mpango huo na utekelezaji uanze haraka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS