Baada ya miezi 3 abaini 'house girl' ni mwanaume

Mwanaume aliyejgeuza mwanamke

Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS