Pili Kitimtim atafuta mume mkoani Picha ya Pili Kitimtim Mchekeshaji Gladness Kifaluka maarufu kama 'Pili Kitimtim' ameweka wazi nia yake ya kutaka kuingia kwenye ndoa baada ya kuanza kutafuta mume kutoka mkoani. Read more about Pili Kitimtim atafuta mume mkoani