Vita ya Tatu ya Dunia zitatumika nyuklia - Urusi Mambo ya Nnje wa Urusi, Sergey Lavrov. Waziri wa Mambo ya Nnje wa Urusi, Sergey Lavrov ametoa onyo endapo vita ya tatu ya Dunia itatokea zitatumika silaha za nyuklia na utatokea uharibifu mkubwa sana. Read more about Vita ya Tatu ya Dunia zitatumika nyuklia - Urusi