Everton waombwa msamaha EPL

(Kocha wa Everton Frank Lampard akilalamika kwa muamuzi)

Klabu ya Everton wameombwa msamaha kutoka kwa bodi ya ligi kuu ya England, huku msimamizi wa waamuzi Mike Riley akimpigia simu kocha wa everton Frank Lampard kuomba samahani kwa kuwanyima penalti kwenye mchezzo wa dhidi ya Manchester City.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS