Udoh athibitisha kukosa kandarasi ndani ya Simba Kiungo mkabaji raia wa Nigeria , Udoh Etop David, amethibitisha kwamba, hajafanikiwa kupata mkataba wa kuitumikia Simba SC baada ya kufanya majaribio kwa takribani wiki moja. Read more about Udoh athibitisha kukosa kandarasi ndani ya Simba