Pele apata ruhusa hospital
Gwiji wa zamani wa soka Edson Arantes dos Nasciemento “Pele” amepewa ruhusa ya kutoka hospital baada ya kukaa kwa siku 8 tangu february 13 akipatiwa huduma ya kitabibu kutokana na tatizo la utumbo mpana sambamba na ugonjwa wa UTI.

