Alikiba, Shilole wakubali yaishe Picha ya Alikiba na Shilole Wanasema wagombanao ndio wapatanao, hilo limetokea kwa msanii Alikiba na Shilole kuwa na tofauti na kurushiana maneno kwenye interview na mitandaoni kuhusu mualiko kwenye uzinduzi wa Album ya Alikiba. Read more about Alikiba, Shilole wakubali yaishe