Wakubwa wakwepana robo fainali FA Cup

(Kombe la FA nchini England)

Klabu za Liverpool, Chelsea na Manchester City zimekwepana katika droo ya kupanga michezo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la FA nchini England iliyofanyika jana machi 3. Hivyo Sasa Chelsea watasafiri kwenda kuwakabili Middlesbrough, ambayo iliwatoa Tottenham na Manchester United.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS