Kaze: wachezaji wote wa yanga ni muhimu
Kocha Msaidizi wa Young African, Cedric Kaze amesema kurejea kwa wachezaji Fiston Mayele, Yanick Bangala na Saido Ntibanzonkia haimaanishi kama wachezaji hao wana umuhimu mkubwa kwenye kikosi chake kuliko wachezaji wengine, kuelekea mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam FC.