Shatta Wale aendeleza vita yake na Burnaboy

Kulia ni Shatta Wale kushoto Burnaboy

Msanii wa Ghana Shatta Wale ameendeleza vita yake ya maneno dhidi ya Burnaboy kutoka Nigeria kwa kusema matajiri hawajionyeshi ila masikini ndio wanataka kujionyesha kwa mtu kuwa wana kila kitu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS