Simba yapigwa 2-0, yashuka mpaka nafasi ya 2
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Simba SC imeshuka mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi D baada ya kunyukwa mabao 2-0 na RS Berkane jana usiku kwenye mchezo wa raundi ya 3 hatua ya makundi.

