Tuwaheshimu walioko kwenye nafasi - Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini. Read more about Tuwaheshimu walioko kwenye nafasi - Waziri Mkuu