CAF yamkingia kifua mwamuzi Sikazwe

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetupilia mbali rufaa ya Tunisia juu ya mchezo wao dhidi ya Mali kwenye michuano ya Afcon kundi F kumalizwa mapema kabla ya dakika 90 kuisha ,mchezo uliochezeshwa na mwamuzi Mzambia Janny Sikazwe na kumalizika  kwa Mali kuibuka na ushindi wa 1-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS