TFF ongezeni nguvu zaidi soka la Wanawake

(Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Pauline Gekul)

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Pauline Gekul (Mb) amelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuendelea kuwekeza zaidi katika soka la wanawake ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika mashindano ya kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS