Simba kusalia Casablanca kwa siku mbili

(Kocha msaidi wa Simba Suleiman Matola)

Baada ya wawakilishi wa Tanzania kimataifa klabu ya Simba kuwasili salama nchini Morocco jioni ya jana wakitokea nchini Uturuki, kocha msaidizi wa klabu hiyo Suleiman Matola amesema Timu itasalia jijini casablanca kwa muda wa siku mbili wakifanya mazoezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS