Yanga yainyuka Mtibwa 2-0, waiacha Simba alama 8

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele akiwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar

Vinara wa Ligi kuu soka Tanzania bara Yanga SC wamezidi kutanua wigo wa alama kileleni mwa msimamo wa ligi wakiongoza kwa tofauti ya alama 8, baada ya leo kuinyuka Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0 na kufikisha alama 39.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS