Wabunge wanawake tunafanyiwa ukatili - Neema
Mbunge wa Viti Maalum kundi la NGO's, Neema Lugangira, amesema kuwa bado ipo haja ya kuendelea kuwanyanyua wanawake, kutokana na mfumo uliowekwa wa kwamba kila atakachokifanya mwanamke basi wanaume watamtolea macho kisa tu kafanya kwa ubora kuwazidi wao.