The Rock amzawadia gari mama yake The Rock na mama yake wakati akimpa zawadi ya gari Muigizaji mwenye wafuasi wengi zaidi instagram akiwa na wafuasi million 284 Dwayne Johnson maarufu 'The Rock' amzawadia mama yake mzazi gari mpya katika siku ya Krismasi. Read more about The Rock amzawadia gari mama yake