Chelsea na rekodi za kibabe, Juventus mnyonge UCL

(Kai Havertz akifunga bao dhidi ya Lille ya Ufaransa)

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya ‘UEFA Champions League’ iliendelea usiku wa kuamkia leo Februari 23, 2022 kwa michezo miwili, Chelsea imeifunga Lille 2-0 wakati Villarreal wametoka sare dhidi ya Juventus.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS