Edwards aweka rekodi mpya ya 3-Point NBA
Anthony Edwards ameweka rekodi ya kuwa mcheza kikapu mwenye umri mdogo zaidi kufunga alama tatu mara 10 kwenye mchezo mmoja katika historia ya NBA na kumpiku Kyrie Irving aliyefanya hivyo mwaka 2015 alipokuwa na miaka 22.