Klopp agoma kutafuta m'badala wa Salah na Mane
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp hanampango wakufanya usajili wa wachezaji watakaoziba nafasi za wachezaji Mo Salah na Sadio Mane watakao kosekana kwa takribani mwezi mzima kutokana na ushiriki wao kwenye michuano ya mataifa barani Afrika AFCON inayoanza January 9 mpaka Februari 6, 2022.