Hatuna mgonjwa wa Omicron - Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameitaka sekta binafsi kuitetea nchi kwa kuwa vita ya kibishara ni kubwa ikiwemo baadi ya watu kuitangaza Tanzania kuwa ni moja ya nchi hatari za kutembelea kwa madai ya kwamba wimbi la nne la kirusi cha Omicron limeshaingia.