Simba 0-0 Yanga, rekodi zinabana Kariakoo Derby

(Joash Onyango wa Simba akiwania mpira na Fiston Mayele wa Yanga)

Mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania kati ya wenyeji Simba na watani wao Yanga umemalizika kwa matokeo ya sare ya bila kufungana 0-0 na kufanya rekodi zizidi kubana kwa wawili hao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS