Mwanamke aliyejiteka ahukumiwa kifungo jela
Mahakama ya Makadara nchini Kenya, imemhukumu kifungo cha miezi nane gerezani, mwanamke mmoja aitwaye Mary Ambeza, kwa kosa la kujiteka nyara na kumtumia ujumbe mume wake uliosema, “Njoo uchukue mwili wa mkeo”

