Wanaoamini wameibiwa mabando wapeleke ushahidi
Waziri wa Habari Nape Nnauye, amemtaka yeyote ambaye anaamini aliibiwa kifurushi chake na kukuta kimeisha bila kukitumia, apeleke ushahidi na utafanyiwa uchambuzi kwa kutumia vifaa vya kisasa na kuweka hadharani ili kuonesha tatizo lilipo.

