Bingwa wa F1 kupatikana Disemba 12
Mashindano ya mbio za magari ya Langa Langa yanayotaraji kufanyika Disemba 12 mwaka huu nchini Abu Dhabi yanataraji kuwa yenye upinzani mkali kwani yamebeba hatma ya kuamua bingwa kati ya Lewis Hamilton na Max Verstappen.