Njoo uniambie kwamba Dada nimeshindwa- Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, afanye marekebesho yanayowezekana ndani ya wizara yake ili mambo yaendelee kufuatia uwepo wa ubadhirifu mkubwa katika bandari ya Dar es Salaam.