Kodi anayolipa Diamond Platnumz kwa mwaka Picha ya msanii Diamond Platnumz Staa wa muziki Tanzania na Africa kwa ujumla Diamond Platnumz ameweka wazi kiasi cha kodi anacholipa kwa mwaka ambapo ni Tsh Bilioni 1.7. Read more about Kodi anayolipa Diamond Platnumz kwa mwaka