Kibarua cha Nuno ndani ya Spurs kipo mashakani
Kibarua cha kocha wa Tottenham Hotspurs ,Nuno Espirito Santo kipo mashakani kufuatia kipigo cha bao 3-0 walichokipokea kutoka kwa Manchester United Jumamosi iliyopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza.