Sports Countdown Julai 22, Tanzania yaichapa Congo
Stori sita (6) za michezo (Sports Countdown) leo asubuhi Julai 22, 2021. kwenye Supa Breakfast ya East Africa Radio kuanzia Saa 1:15 Asubuhi, ambapo kila stori inatokana na namba 1 mpaka 6. Na moja ya stori kubwa leo ni David alaba apewa jezi namba 4, Tanzania yaifunga Congo.