Sports Countdown Julai 21, PSG wakomaa na Pogba
Stori sita (6) za michezo (Sports Countdown) leo asubuhi Julai 20, 2021. kwenye Supa Breakfast ya East Africa Radio kuanzia Saa 1:15 Asubuhi, ambapo kila stori inatokana na namba 1 mpaka 6. Na moja ya stori kubwa leo ni PSG wapanda dau kumsajili Pogba na michezo ya Olimpiki yagomewa Japan.