Aua mke na yeye kujinyoga kwa chandarua

Wanandoa wawili Imelda Augustino (30) na mume wake Augustino Mushobozi (37) wakazi wa Mubunda tarafa Kimwani wilayani Muleba mkoani Kagera, wamepoteza maisha baada ya mume kumkatakata kwa kitu chenye ncha kali mke wake na kisha naye kujiua kwa kwa kujinyonga kwa kutumia chandarua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS