''Kimbunga Jobo kimeondoka Tanzania'' - TMA Moja ya picha za satelite za kimbunga Jobo kutoka TMA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo Aprili 25, 2021, imesema mwenendo wa kimbunga hafifu “Jobo” unaonesha kuwa katika kipindi cha saa 6 zilizopita kimepoteza nguvu. Read more about ''Kimbunga Jobo kimeondoka Tanzania'' - TMA