Sababu za Rais Dkt. Mwinyi kuvunja bodi ya ZSSF Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, ameivunja bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kutokana na matumizi mabaya ya fedha. Read more about Sababu za Rais Dkt. Mwinyi kuvunja bodi ya ZSSF