Bayern kutwaa ubingwa wa 31, Bundesliga

Bayern Munich

Bayern Munich watatwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Ujerumani Bundesliga leo endapo kama watashinda mchezo wao wa leo dhidi ya Mainz, mchezo utakao chezwa majira ya Saa 16:30 Jioni, na huu utakuwa ni ubingwa wao wa 31 na wa 9 mfululizo wa Ligi Kuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS