Klopp na Gundogan watupa mawe UEFA
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp na kiungo wa kati wa Manchester City, Ikay Gundogan wameligeukia shirikisho la soka barani Ulaya, UEFA kwa kuja na wazo na kutaka kubadilisha mfumo wa michuano hiyo jambo litakalo pelekea kuongezeka kwa idadi ya michezo itakayochosha zaidi wachezaji.