"Mimi ni mzuri, nikipendeza watanipiga" - Chemical Msanii Chemical Rapa Chemical amesema yeye ni mwanamke mzuri na ameumbika vyema hivyo akiamua kupendeza anaweza akawaiba wanaume au atawachukua wanaume wengi ambao tayari wana wapenzi wao. Read more about "Mimi ni mzuri, nikipendeza watanipiga" - Chemical