Spurs yamtimua kazi Jose Mourinho
Kwa mujibu wa tovuti ya Sky Sports ya nchini England, kocha Jose Mourinho amefukuzwa kazi na klabu ya Tottenham Hotspurs kufuatia mwenendo wa matokeo yasiyoridhisha klabu hapo hususani kwenye ungwe ya pili ya ligi kuu nchini England.