Agizo la JPM kwa Bi Elizabeth, Manyoni latekelezwa
Kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli aliposimama wilayani Manyoni Jumapili Jan 31, 2021 na kusikiliza kero ya Bi. Elizabeth Msalala ya kuporwa ardhi yake, sasa amerejeshewa haki zake.