Familia inayoamini kumiliki simu na TV ni dhambi
Familia ya Merchades Buberwa, mkazi wa Kasarani, Bukoba mkoani Kagera, imeeleza haina mpango wa kuwapeleka shule, lakini pia watu wa familia hiyo hawamiliki simu, hawaangalii televisheni na hawashiriki shughuli zozote za kijamii wakidai kuwa Mungu wao anakataza na kufanya hivyo ni dhambi.