Taarifa kuhusu majeraha ya Harry Kane hii hapa
Kocha wa Klabu ya Tottenham Hotspurs, Jose Mourinho amethibitisha kwamba atamkosa mshambuliaji wake matata, Harry Kane kwa majuma machache kufuatia kupata majeraha ya kiundo cha mguu katika mchezo wa jana dhidi ya Liverpool.