Taifa Stars kuanza na Zambia leo michuano ya CHAN

Kikosi cha Taifa Stars kikifanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuwavaa Zambia.

Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatazamiwa kutupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya CHAN inayofanyika nchini Cameroon kwa kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia 'Chipopolo' saa 1:00 usiku kwenye dimba la Omniport jiji la Limbe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS