Sababu ya Alikiba kutovaa hereni Msanii Alikiba Nyota wa muziki wa Bongofleva Alikiba ambaye jana Jumatatu Januari 18, 2021, aliachia ngoma yake mpya inayoitwa Infidele, amesema suala la uvaaji kwenye video zake halimsumbui tena maana mambo mengi ameshayapitia. Read more about Sababu ya Alikiba kutovaa hereni