Chelsea yamfuta kazi Frank Lampard
Klabu ya Chelsea imemfuta kazi aliyekuwa kocha wake Frank Lampard kufuatia matokeo mabaya klabuni hapo hususani kwenye EPL kwa kupoteza michezo mitano, sare mbili na kupata ushindi kwenye michezo miwili pekee katika michezo kumi ya mwisho.