Bodi ya Ligi yatangaza ratiba ya viporo
Bodi ya ligi Tanzania TPLB, imetangaza tarehe za michezo ya ligi hiyo iliyoghairishwa kutokana na michezo ya kimataifa kuwa itaanza kuchezwa kuanzia tarehe 4 Februari na ratiba ya michezo ya muendelezo ya mzunguko wa 19 itangwa hivi karibuni.