Tume ya Uchaguzi yamtangaza Museveni kuwa mshindi Yoweri Museveni, Rais mteule wa Uganda. Tume ya Uchaguzi nchini Uganda, imemtangaza Yoweri Museveni, kuwa ndiye mshindi wa kiti cha urais wa nchi hiyo baada ya kupata kura 5,851,037, sawa na 58.64%. Read more about Tume ya Uchaguzi yamtangaza Museveni kuwa mshindi